Tuesday, August 6, 2013
CHOKOCHOKO ZA RWANDA KWA... KAGAME KUKIONA
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Akaongeza: "Kagame amezoea vita ya wao kwa wao lakini Tanzania tumeshakwenda nchini Comoro ili kumng'oa Kanali Mohamed Bacar ambaye alikuwa aking'ang'ania madaraka katika Kisiwa cha Anjouan, tulipigana na Nduli Iddi Amin na akakimbia nchi, sembuse Kagame?" alihoji askari huyo. Akaongeza: "Tumekwenda Msumbiji, Angola, Visiwa vya Shelisheli, Darfur na hata Lebanon, siyo kwa kuvamia bali kwa kuombwa na mataifa, hivyo Kagame aache kabisa kumkashifu rais wetu, amheshimu kama anavyoheshimiwa yeye." Licha ya askari, wananchi mbalimbali waliohojiwa na gazeti hili, wamemshangaa Kagame kwa kumtusi Kikwete. "Kwangu mimi nasema ni bora tukaachana na huu mpango wa Shirikisho la Afrika Mashariki kwa sababu dalili mbaya zinaonekana hata kabla ya kuungana," alisema Naomi Erasto, Mkazi wa Masaki, Dar. http://magangaone.blogspot.ca/ |
__._,_.___
Reply via web post | Reply to sender | Reply to group | Start a New Topic | Messages in this topic (1) |
---------------------------------------------------------- The Voice of the Poor, the Weak and Powerless. More News: http://theafricawatch.blogspot.co.uk/ ----------------------------------------------------------- Post message: AfricaWatch@yahoogroups.com Subscribe: AfricaWatch-subscribe@yahoogroups.com Unsubscribe: AfricaWatch-unsubscribe@yahoogroups.com List owner: AfricaWatch-owner@yahoogroups.com ----------------------------- Managed by Africa Social Media Group, London, UK
.
__,_._,___
No comments:
Post a Comment